sports

Mechi za kufuzu , Kombe la Dunia kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka ishirini zitang’oa nanga mwezi huu wa Novemba. Timu ya taifa Harambee Starlets imeratibiwa kucheza na Ghana, Jumapili ya tarehe tano kwenye uga wa Cape Coast Stadium, kule Accra. Timu hiyo ya wanadada wachanga, imekuwa ikipiga mazoezi kwa zaidi ya wiki kule Kenyatta […]


Campus Radio Kenya

Live It Up

Current track

Title

Artist

Background