INIESTA KUCHEZEA BARCELONA HADI KIFO Kiungo wa timu ya taifa ya Uhispania na nahodha wa Barcelona, Andres Iniesta ameikabidhi klabu hiyo maisha yake. Nyota huyo ametia sahihi kandarasi hiyo ya maisha leo, Ijumaa mchana mbele ya raisi wa klabu hiyo Josep Maria Bartomeu. Iniesta, alijiunga na Barcelona mwaka wa elfu…
Graduates develop a cell phone voting system. SUMMARY Two graduates from Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology have developed a smart voting system The system will allow voters to cast their ballot without the need of queuing at a polling station Telecommunication and Information Engineering graduates Peter Waiyaki and…
Acting Interior Cabinet Secretary Fred Matiang’i has defended Tuesday’s closure of the University of Nairobi. Dr Matiang’i said the closure was meant to avert a clash between police and the students. The CS said the Tuesday action was for the good of the learners. “We never wanted to witness scenes…
Aliyekuwa mlinzi wa Arsenal, Lauren Bisan anatarajiwa kutua anga za Kenya mwezi Desemba mwaka huu kulingana na mtandao wa Goal.. Bisan ambaye ni mzaliwa wa Ivory Coast anakumbukwa kwa kuiongoza nchi yake kutwaa medali ya dhahabu kwenye michuano ya Olimpiki.Lauren pia alikuwa kwenye kikosi cha Arsenal kilichoshinda taji la…
The Kenya Universities and Colleges Central Placement Service is present at the Nairobi International Trade Fair, also known as the Nairobi Show. The show is taking place at the Jamhuri Park Showground on Ngong Road from October 2 to 8, 2017. At the stand you’ll get a mentorship on career…
Embakasi East Member of Parliament Paul Ongili aka Babu Owino has told Education CS Fred Matiangi that closing the University of Nairobi after the demonstrations is not a solution. “Matiang’i has ordered university senate to close The University of Nairobi indefinitely. This is not the solution but postponing the problem.…
University lecturers have issued a 21-day strike notice to the government. This means that their strike will start on October 31. Universities academic staff union (Uasu) Secretary-General Constantine Wasonga, while issuing the notice to 31 public universities, on Tuesday said the job boycott was not stoppable until their demand for…
The University of Nairobi was Tuesday morning closed indefinitely by the Senate following student unrest over last week’s police assault that left 27 students with injuries. “UON senate has today closed the University with immediate effect due to the deteriorating security situation. Students have been asked to vacate the halls…
Jumapili, Oktoba mosi ilishuhudia ufunguzi wa nusu fainali ambapo bao Ali Hussein liliipeleka Egerton Njoro kwenye fainali baada ya mechi ngumu kupindukia dhidi ya Laikipia. Semi fainali ya pili iliambulia sare ya bao moja kati ya UoE na Maasai Mara baada ya Betto Hassan kusawazishia Maasai Mara kipindi cha…
Awamu ya kwanza ya michuano ya KUSA RIFT CONFERENCE ilikamilika hapo jana Oktoba mosi huku vyuo kadhaa vikidhihirisha weledi wao katika mchezo wa soka.Timu ziligawanywa katika vikundi viwili kundi A likichezea Annex kundi B likisakatia UoE. Kwenye timu za kiume, kundi A lilisheheni timu za Maasai Mara, Egerton Njoro, Kabarak…

