ROYAL ANTWERP YAMPOTEZA CHIPUKIZI; MIAKA 17 Kifo cha chipukizi wa Ubelgiji Joel Lobanzo, kimeibua majonzi kwenye ulimwengu wa kabumbu, baada ya mchezaji huyo kufariki mazoezini. Lobanzo anayechezea Royal Antwerp aliaga dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo katika mazoezi ya kikosi cha vijana wasiozidi miaka kumi na tisa. Kinda huyo…
“Just as candle cannot burn without fire, we cannot live without a spiritual life” Gautama Buddha The world is full of religions, either you’re born into one, geographically find yourself in one or you simply adopt one, you can be convinced equally to join one. Understanding man strong bond to…
Mechi za kufuzu , Kombe la Dunia kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka ishirini zitang’oa nanga mwezi huu wa Novemba. Timu ya taifa Harambee Starlets imeratibiwa kucheza na Ghana, Jumapili ya tarehe tano kwenye uga wa Cape Coast Stadium, kule Accra. Timu hiyo ya wanadada wachanga, imekuwa ikipiga mazoezi kwa…
We often presume or feel we are healthy due to absence of sickness and diseases. Good health relates to good positive feeling. Good health breeds positive aura of energy, mental strength, good lifestyle, feeling of love, harmony and happiness. The foundations of one’s happiness is down to health. It is…
Learning at public universities is set to be paralysed from Wednesday due to a lecturers’ strike. The job boycott will be the third one to happen this year in an academic year that has also been disrupted by two presidential elections. Universities Academic Staff Union (Uasu) secretary-general Constantine Wasonga asked…
The King Kaka Empire CEO, King Kaka releases a new single which acts to unify Kenyans during this emblematic time in Kenya, caused by political tensions regarding the repeat election for the presidential post. He talks about the need for youths to speak against election irregularities; politicians misusing the Kenyan…
Quuntur magni dolores eos qui ratione voluptatem sequi nesciunt. Neque porro quisquam est, qui dolorem ipsum quiaolor sit amet, consectetur, adipisci velit, sed quia non numquam eius modi tempora incidunt ut labore et dolore magnam dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore…
SIASA YAANGAMIZA MICHEZO; KENYA JUBILEE, NASA! Naam huu ndio msemo wa siku hapa Kenya. Utakuta mashabiki wa mirengo hiyo wakibishana mitandaoni, kila mmoja akijaribu kuonyesha jinsi mrengo wake in bora. Si wazomei hao, ila inasikitisha kuona hali ya michezo nchini ikizidi kudorora, siku baada ya nyingine. Juni mwaka huu, Kenya…
I recently stumbled across a post on the Facebook wall of a friend. One of his friends, a woman, had posted that she is against the new law in Kenya that makes it harder for parents to beat their children. I was confused at first and though I didn’t catch…
KIDUMBWEDUMBWE:TUZO ZA FIFA 2017 Naam, hayawi hayawi huwa, tuzo zilizosubiriwa kwa hamu na hamumu na mashabiki wapenzi wa soka ulimwenguni, ziliandaliwa hiyo jana kule London, Uingereza. Kama ilivyotarajiwa, Cristiano Ronaldo alitwaa tuzo la mchezaji bora duniani kwa wanaume huku Lieke Martens akitajwa mwanasoka bora kwa kina dada. Baada ya msimu…

