The Minnows ya Zanzibar imejikatia tikiti ya fainali hii leo, baada ya kuicharaza Uganda Cranes mabao mawili kwa moja. Mechi hiyo iligaragazwa katika uga wa Moi kule Kisumu. Abdulazziz Makame alikuwa wa kwanza kucheka na wavu kwa upande wa Zanzibar kunako dakika ya ishirini na mbili, kabla ya…
Klabu ya Wazito iliyopandishwa daraja majuzi iliishangaza Rangers siku ya Jumanne, baada ya kuirindima bao moja kwa nunge. Mechi hiyo ilisakatwa katika uga wa Moi Sports Centre; Kasarani katika sherehe za Jamhuri. Aliyekuwa mshambulizi wa Tusker John Mabia alifunga bao hilo muhimu baada ya kuingizwa kama nguvu mpya.…
Official Tusker FC FROM: TUSKER FOOTBALL CLUB 8th December, 2017 RE: TUSKER FOOTBALL CLUB TRIALS Tusker FC will be conducting a three day trial exercise aimed at recruiting new players ahead of the team’s 2018 campaign. The player selection and trials will be conducted at the club’s…
Droo ya Kombe la klabu bingwa iliandaliwa leo alasiri huku kipute babu kubwa kikisubiriwa kati ya Real Madrid ya Uhispania na Paris Saint Germain ya Ufaransa. Chelsea ya Uingereza inakabiliwa na mtihani mgumu dhidi ya Barcelona ya Uhispania huku Tottenham ikitifua kivumbi dhidi ya Juventus. Timu ya…
ZANZIBAR INAONGOZA KUNDI A Kikosi cha Kenya, Harambee Stars kimejipata taabani kwa mara nyingine baada ya kuambulia sare tasa dhidi ya Zanzibar, siku ya Jumamosi. Chini ya ukufunzi wa kocha mpya Paul Put, Stars imeshinda mechi moja tu huku wakiandikisha sare kwenye mechi mbili. Mabao ya Duncan Otieno na…
LIGI KUU UINGEREZA JUMAMOSI 15:00 Westham v Chelsea 18:00 Burnley v Watford Crystal palace v Bournemouth Huddersfield v Brighton Swansea v Westbrom Tottenham v Stoke 20:30 Newcastle v Leicester JUMAPILI 15:00 Southampton v Arsenal 17:15 Liverpool v Everton 19:30 Manchester United v Manchester City SERIE A ITALIA JUMAMOSI…
Round 6 Results TUESDAY, 05:12:17 AS Roma 1-0 Qarabag Barcelona 2-0 Sporting Bayern Munich 3-1 PSG Benfica 0-2 Basel Chelsea 1-1 Atletico Madrid Manchester United 2-1 CSKA Moscow Olympiakos 0-2 Juventus Celtic 0-1 Anderlecht WEDNESDAY, 06:12:17 FC Porto 5-2 Monaco Feyenoord 2-1 Napoli Liverpool 7-0 Spartak Moscow Maribor 1-1…
Timu ya taifa, Harambee Stars inashikilia uongozi wa Kundi A kwenye mechi zinazoendelea za CECAFA, baada ya kuinyuka Rwanda mabao mawili kwa nunge. Mechi hiyo ambayo ilifungua michuano hiyo rasmi, ilisakatwa kule Kakamega, kwenye uga wa Bukhungu. Masoud Juma aliipa Kenya bao la kwanza dakika ya ishirini na…
Man Utd 3 – 1 Arsenal It was an occasion when Manchester United demonstrated a remorseless edge in front of goal and yet could count goalkeeper David de Gea as their most influential player considering Arsenal had a far superior ball posession at 76%. And it was one when the…
ENGLISH PREMIER LEAGUE SATURDAY @3:30 PM Chelsea v Newcastle United @6:00 PM Brighton v Liverpool Everton v Huddersfield Leicester v Burnley Stoke v Swansea Watford v Tottenham WestBrom v Crystal Palace @8:30 PM Arsenal v Manchester United SUNDAY @4:30 PM Bournemouth v Southampton Manchester city v Westham FRENCH LIGUE 1…

