Campus Radio Kenya
  • Home
  • Shows
    • Shows
    • Broadcasts
    • Schedule
  • Blog
  • Features
    • Service Plus
    • Gallery
  • About
    • Our Mission
  • Contacts

Sports

Campus Radio Kenya
  • Home
  • Shows
    • Shows
    • Broadcasts
    • Schedule
  • Blog
  • Features
    • Service Plus
    • Gallery
  • About
    • Our Mission
  • Contacts
February 7, 2018 0Comments 0Likes

WAZEE WADUWAZA VIJANA KATIKA DEBI YA MARSHALLS

Vijana wa Marshalls waachiwa kivumbi na wazee waliosheheni uzoefu katika debi ya “funga-nifunge” Hali ilikuwa si hali Jumamosi ya tarehe tatu pale Pavilion, baada ya mibabe wa zamani kuwafunza kandanda vijana chipukizi wa Marshalls. Kipute hicho kilichosubiriwa kwa hamu na hamumu, kilishuhudia halaiki ya mashabiki kutoka bewa kuu la Chuo…

Read more
February 7, 2018 0Comments 0Likes
February 4, 2018 0Comments 0Likes

SHARKS 5-1 KESSES SKYLAX : Sharks romp SkyLax 5-1 in a free scoring display

Vincent, Edwin, Walter and Kimani were all on the scoresheet, as Sharks gave the Kesses men a high-five on Friday. SkyLax who topped the provincial league last season, did not manage to get over Sharks at home, with their defence proving porous. SkyLax who are set to feature in Division Two…

Read more
February 4, 2018 0Comments 0Likes
February 1, 2018 0Comments 0Likes

SHARKS YAICHARAZA MARSHALLS KATIKA NGARAMBE YA “KUFA-MTU”

Klabu ya Sharks inayoshiriki ligi ya Chuo Kikuu cha Moi, iliibetua, ikaiburura na kuilaza timu kuu ya chuo hicho, Field Marshalls mabao matatu kwa mawili, ugani Upperhill.   Mechi hiyo ambayo kwa kawaida huzua mhemko mahasidi hao wanapogaragazana, ilishuhudia ubabe wa aina yake huku refarii Euro akipongezwa kwa maamuzi ya…

Read more
February 1, 2018 0Comments 0Likes
January 30, 2018 0Comments 0Likes

MARSHALLS SURPRISE HURUMA UNITED IN A THRILLING 2-1 FRIENDLY

Moi University men showcased huge talent against the Division Two side Division Two side Huruma United had a tough time handling Moi University school team alias Field Marshalls, in a friendly held in Huruma on Sunday. The Eldoret based team began the match on a high note with their lone…

Read more
January 30, 2018 0Comments 0Likes
January 29, 2018 0Comments 0Likes

KERR AMSIFU SHAKAVA KWA KUISHINDIA K’OGALO SUPERCUP

  Gor iliilaza Ingwe bao moja kwa nunge na kutwaa taji hilo   Kocha wa Gor Mahia Dylan Kerr amemmiminia sifa nahodha wa kikosi chake Harun Shakava, kwa kuonyesha mchezo mwema siku ya Jumapili alipoifungua K’Ogalo bao la ushindi.   Itakumbukwa kuwa Shakava aliteuliwa kama nahodha baada ya Musa Mohammed…

Read more
January 29, 2018 0Comments 0Likes
January 20, 2018 0Comments 0Likes

Friendlies: COLLO NETS TWICE AS GFE 105 PUNCH MARSHALLS 4-2

  Enthralling Action as Moi University Field Marshalls showcase talent despite defeat National Super League Side; GFE 105 thrashed Moi University school team 4-2 in a thrilling match played at 64 Stadium, Eldoret on Thursday. The match which ended in a 1-1 draw in the first half, kicked off with…

Read more
January 20, 2018 0Comments 0Likes
January 18, 2018 0Comments 0Likes

Soya Awards 2018: HELLEN OBIRI AND CONSESLUS KIPRUTO TOP

Samuel Muchai of Paralympics scoops Sports Personality of the Year The 2018 Soya Awards were held glamorously, in an event that took place at KICC, Nairobi. The event is held annually to reward various sports personalities that flew the Kenyan flag high throughout the previous year. A majority of young…

Read more
January 18, 2018 0Comments 0Likes
January 17, 2018 0Comments 0Likes

POSTA RANGERS YAIPORA TUSKER TENA!

“PAMZO” Anyakua Kago na Misiko   Klabu ya Posta Rangers inayoshiriki ligi Ku nchini imevamia mabingwa wa 2016 Tusker, na kusajili kiungo wa kati Luis Misiko. Misiko ametia sahihi mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo ambayo ilimaliza ya nne, msimu uliopita. Misiko atajumuika na aliyekuwa mchezaji-mwenza kule Tusker, Danson…

Read more
January 17, 2018 0Comments 0Likes
January 13, 2018 0Comments 0Likes

MICHAEL OLUNGA AANDIKISHA HISTORIA HUKU GIRONA IKIITANDIKA LAS PALMAS 6-0

  Mshambulizi wa timu ya taifa ya Harambee Stars na klabu ya Girona, Michael Olunga ameandikisha historia hii leo baada ya kuwa Mkenya wa kwanza kufunga bao kwenye ligi ya Uhispania Laliga. Aidha, Olunga almaarufu “Engineer ” amekuwa mchezaji wa kwanza wa klabu hiyo ya Girona kufunga mabao matatu kwenye mechi moja. Itakumbukwa…

Read more
January 13, 2018 0Comments 0Likes
January 7, 2018 0Comments 0Likes

HATIMAYE: BARCELONA YAMNASA COUTINHO KWA REKODI YA {€160 M}

  Miamba wa Laliga Uhispania, Barcelona wamefanikiwa kumpata Philippe Coutinho kutoka Liverpool kwa rekodi ya Euro milioni mia moja sitini (€100M). Barca wamempata nyota huyo baada ya muda mrefu wa kutuma maombi yaliyokataliwa. Kipindi kilichopita cha uhamisho, kilishuhudia uhamisho wa Coutinho ukigonga mwamba dakika za lala salama, baada ya Liverpool…

Read more
January 7, 2018 0Comments 0Likes

Posts navigation

< Page 1 Page 2 Page 3 Page 4 Page 5 Page 6 … Page 9 >
Listen Live!
https://stream.zenolive.com/mayn36v1v8quv.mp3
Search
Podcast of the Week
Podcast of the Week
About This Radio

We are music people. Just like you. This radio is a mirror of our souls. Our mission is to search out and expose great new music to people who otherwise may never encounter it. So please enjoy our vibes, cause our music never ends.

Copyright © 2026 by College Media Group Ltd. All rights reserved.