Campus Radio Kenya
  • Home
  • Shows
    • Shows
    • Broadcasts
    • Schedule
  • Blog
  • Features
    • Service Plus
    • Gallery
  • About
    • Our Mission
  • Contacts

Sports

Campus Radio Kenya
  • Home
  • Shows
    • Shows
    • Broadcasts
    • Schedule
  • Blog
  • Features
    • Service Plus
    • Gallery
  • About
    • Our Mission
  • Contacts
November 1, 2017 0Comments 0Likes

HARAMBEE STARLETS KUMENYANA NA GHANA; JUMAPILI

Mechi za kufuzu , Kombe la Dunia kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka ishirini zitang’oa nanga mwezi huu wa Novemba. Timu ya taifa Harambee Starlets imeratibiwa kucheza na Ghana, Jumapili ya tarehe tano kwenye uga wa Cape Coast Stadium, kule Accra. Timu hiyo ya wanadada wachanga, imekuwa ikipiga mazoezi kwa…

Read more
November 1, 2017 0Comments 0Likes
October 30, 2017 0Comments 0Likes

SIASA YAANGAMIZA MICHEZO ; KENYA

SIASA YAANGAMIZA MICHEZO; KENYA JUBILEE, NASA! Naam huu ndio msemo wa siku hapa Kenya. Utakuta mashabiki wa mirengo hiyo wakibishana mitandaoni, kila mmoja akijaribu kuonyesha jinsi mrengo wake in bora. Si wazomei hao, ila inasikitisha kuona hali ya michezo  nchini ikizidi kudorora, siku baada ya nyingine. Juni mwaka huu, Kenya…

Read more
October 30, 2017 0Comments 0Likes
October 26, 2017 0Comments 0Likes

Kidumbedumbwe: TUZO ZA ZA FIFA 2017

KIDUMBWEDUMBWE:TUZO ZA FIFA 2017 Naam, hayawi hayawi huwa, tuzo zilizosubiriwa kwa hamu na hamumu na mashabiki wapenzi wa soka ulimwenguni, ziliandaliwa hiyo jana kule London, Uingereza. Kama ilivyotarajiwa, Cristiano Ronaldo alitwaa tuzo la mchezaji bora duniani kwa wanaume huku Lieke Martens akitajwa mwanasoka bora kwa kina dada. Baada ya msimu…

Read more
October 26, 2017 0Comments 0Likes
October 20, 2017 0Comments 0Likes

JAHAZI LA ATLETICO NA DORTMUND LAZAMA

Kwa kweli, ukweli wa kauli hii ulidhihirika usiku wa Jumanne na Jumatano wiki hii kwenye dimba la Kombe la Mabingwa baada ya Borussia Dortmund na Atletico Madrid kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye kipute hicho. Miamba hao wa Bundesliga, wanasheheni mastaa tajika kama Marco Reus, Pierre-Emerick Aubameyang na Shinji Kagawa ila waliambulia…

Read more
October 20, 2017 0Comments 0Likes
October 16, 2017 0Comments 0Likes

WIKENDI YA MENDE KUANGUSHA KABATI;

  Chelsea, Arsenal, Juventus na Dortmund walabuliwa Mbio za mibabe wengi wa soka bara Uropa ziliishia jangwani baada ya kulabuliwa, kurindimwa na kufedheheshwa mbele ya mashabiki wikendi iliyopita. Crystal Palace iliifunza Chelsea jinsi ya kusakata soka ya kiume walipoalika Wanablues ugani Selhurst Park. Palace ambao walikuwa hawajashinda mechi yoyote tangu…

Read more
October 16, 2017 0Comments 0Likes
October 14, 2017 0Comments 0Likes

SAFARI YA GEORGE WEAH: GWIJI WA SOKA; MGOMBEA URAIS LIBERIA

  Anayo majina sita,ndiye mshindi wa kombe LA bollan D’or wa mwaka 1995  na Mwafrika wa kwanza kufikia kiwango hicho,kutokana na usakataji,madoido na ubunifu wake katika soka,hayo ni kulingana na shirikisho LA soka duniani FIFA.si mwingine bali George Tawlon Mannoh Oppong Ousman Weah mwanasoka mstaafu aliyezaliwa nchini Liberia. George Weah…

Read more
October 14, 2017 0Comments 0Likes
October 11, 2017 0Comments 0Likes

  MASAIBU YA HARAMBEE STARS

Tusemezane ukweli. Wakati mwingine shabiki haoni raha kuitazama mechi ya Harambee Stars. Wengi huwa wametabiri matokeo ya mechi na kwao kutazama timu ya taifa, ni kupoteza muda. Ukweli ni kwamba, kikosi hicho kimeshindwa kutetea hadhi yao na ni wazi kuwa hawajui kujituma. Tatizo hili ni  kubwa mno na huenda likatuzuia…

Read more
October 11, 2017 0Comments 0Likes
October 8, 2017 0Comments 0Likes

IWOBI APELEKA ‘SUPER EAGLES’ KWENYE KOMBE LA DUNIA

  Kiungo wa Arsenal na timu ya taifa ya Nigeria, Alex Iwobi ameandikisha historia kwa kufunga bao muhimu na kuhakikisha miamba hao wanafika Urusi mwaka ujao. Nyota huyo alifunga bao hilo dakika ya sabini na mbili kwenye kipindi cha lala salama baada ya mabeki wa Zambia kukosa umakinifu. Mechi hiyo…

Read more
October 8, 2017 0Comments 0Likes
October 6, 2017 0Comments 0Likes

INIESTA ACHEZEA BARCA HADI KIFO.

INIESTA KUCHEZEA BARCELONA HADI KIFO Kiungo wa timu ya taifa ya Uhispania na nahodha wa  Barcelona, Andres Iniesta ameikabidhi klabu hiyo maisha yake. Nyota huyo ametia sahihi kandarasi hiyo ya maisha leo, Ijumaa mchana mbele ya raisi wa klabu hiyo Josep Maria Bartomeu. Iniesta, alijiunga na Barcelona mwaka wa elfu…

Read more
October 6, 2017 0Comments 0Likes
October 5, 2017 0Comments 0Likes

SHUJAA WA ARSENAL KUTUA KENYA: DESEMBA

  Aliyekuwa mlinzi wa Arsenal, Lauren Bisan anatarajiwa kutua anga za Kenya mwezi Desemba mwaka huu kulingana na mtandao wa Goal.. Bisan ambaye ni mzaliwa wa Ivory Coast anakumbukwa kwa kuiongoza nchi yake kutwaa medali ya dhahabu kwenye michuano ya Olimpiki.Lauren pia alikuwa kwenye kikosi cha Arsenal kilichoshinda taji la…

Read more
October 5, 2017 0Comments 0Likes

Posts navigation

< Page 1 … Page 6 Page 7 Page 8 Page 9 >
Listen Live!
https://stream.zenolive.com/mayn36v1v8quv.mp3
Search
Podcast of the Week
Podcast of the Week
About This Radio

We are music people. Just like you. This radio is a mirror of our souls. Our mission is to search out and expose great new music to people who otherwise may never encounter it. So please enjoy our vibes, cause our music never ends.

Copyright © 2026 by College Media Group Ltd. All rights reserved.