TUESDAY, 21:11:17 @8:00 PM Besikitas v FC Porto Spartak Moscow v Maribor @10:45 PM APOEL v Real Madrid Dortmund v Tottenham Manchester City v Feyenoord Monaco v RB Leipzig Napoli v Shakhtar Donetsk Sevilla v Liverpool WEDNESDAY, 22:11:17 @8:00 PM CSKA Moscow v Benfica Qarabag v Chelsea @10:45…
LIGI KUU NCHINI; KENYA JUMAMOSI Chemelil 0-1 Western Stima Gor Mahia 2-2 Sony Sugar Muhoroni 1-4 AFC Leopards Nakumatt 1-2 Kariobangi Sharks Nzoia Sugar 1-1 Kakamega Homeboyz Rangers 2-2 Mathare United Sofapaka 2-1 Zoo Jericho Thika United 1-0 Bandari Ulinzi stars 4-0 Tusker LIGI KUU UINGEREZA JUMAMOSI Arsenal 2-0…
PAUL PUT ATACHUKUA HATAMU ZA UKUFUNZI WA HARAMBEE STARS Kwa kweli, hakuna zuri lisilokuwa na mwisho. Stanley Okumbi, alikuwa kocha wa Harambee Stars chini ya siku tano zilizopita,lakini kwa sasa hilo limo kwenye kurasa za kale. Hivi sasa ni rasmi kuwa Paul Put kutoka Ubelgiji amekwisha chukua hatamu za ukocha…
Dereva wa Ferrari Sebastian Vettel ndiye bingwa wa mbio za langalanga; Grand Prix zilizoandaliwa kule Brazil. Bingwa huyo alimpiku Valtteri Bottas huku dereva nambari moja duniani, Lewis Hamilton akimaliza nafasi ya nne. Katika dakika muhimu, Vettel alimpita Bottas kwenye kijia maalum, huku akiingia kwenye kona ya kwanza na kisha kujitokeza…
BALE AMEKUWA NA MAJERAHA 19 TANGU KUJIUNGA NA REAL MADRID Ni wazi kuwa maji yamezidi unga kwenye taaluma ya Gareth Bale, kwani majeraha yanazidi kumwandama na kumganda kama kupe. Nyota huyo mzaliwa wa Wales, alijiunga na Real Madrid mwaka wa 2013 kutoka Tottenham, kwa kima cha Euro milioni mia…
MISRI YAFUZU HUKU MOROCCO IKIIZIMA IVORY COAST Bao la Edwin Gyasi lilisaidia Black Stars kuokota alama moja dhidi ya Misri katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia, Jumapili. Wajukuu hao wa Firauni walikuwa wa kwanza kufuzu walipopata ushindi mkubwa dhidi ya Congo-Brazzaville, mwezi Septemba. Misri ilipata uongozi wa…
Beki mstaarabu Laurent Koscielny atastaafu toka soka la kimataifa baada ya Kombe la Dunia mwaka ujao, kule Urusi. Koscielny ameichezea Les Bleus mechi arobaini na tisa na itakumbukwa kuwa alicheza mechi yake ya kwanza mwaka wa 2011, Ufaransa dhidi ya Marekani. Akizungumza na kituo cha L’Equipe, Koscielny alisema; ”…
MASAIBU YA SUMGONG Bingwa wa mbio za masafa marefu, Jemima Sumgong amepigwa marufuku ya miaka nne. Sumgong alivunja rekodi ya dunia mwaka jana kule Brazil ( Rio Olympics 2016)alipomaliza wa kwanza na kutwaa dhahabu kwa Kenya. Taarifa za kumhusisha na matumizi ya dawa za kusisimua misuli ziliibuliwa baada ya ushindi…
GHANA 5-0 KENYA PAULINE ADOBEA ALIFUNGA MABAO MANNE Kwa kweli, hakuna zuri lisilo kuwa na mwisho. Msururu wa matokeo mazuri ya Harambee Starlets ulifika mwisho hapo jana, baada ya kurindimwa mabao matano kwa nunge na mabinti wa Ghana kule Accra. Kocha wa Ghana Yussif Basigi alimwanzisha Martha Annano kama mlindalango…
ROYAL ANTWERP YAMPOTEZA CHIPUKIZI; MIAKA 17 Kifo cha chipukizi wa Ubelgiji Joel Lobanzo, kimeibua majonzi kwenye ulimwengu wa kabumbu, baada ya mchezaji huyo kufariki mazoezini. Lobanzo anayechezea Royal Antwerp aliaga dunia baada ya kupata mshtuko wa moyo katika mazoezi ya kikosi cha vijana wasiozidi miaka kumi na tisa. Kinda huyo…

