Moi University men showcased huge talent against the Division Two side Division Two side Huruma United had a tough time handling Moi University school team alias Field Marshalls, in a friendly held in Huruma on Sunday. The Eldoret based team began the match on a high note with their lone…
Gor iliilaza Ingwe bao moja kwa nunge na kutwaa taji hilo Kocha wa Gor Mahia Dylan Kerr amemmiminia sifa nahodha wa kikosi chake Harun Shakava, kwa kuonyesha mchezo mwema siku ya Jumapili alipoifungua K’Ogalo bao la ushindi. Itakumbukwa kuwa Shakava aliteuliwa kama nahodha baada ya Musa Mohammed…
Enthralling Action as Moi University Field Marshalls showcase talent despite defeat National Super League Side; GFE 105 thrashed Moi University school team 4-2 in a thrilling match played at 64 Stadium, Eldoret on Thursday. The match which ended in a 1-1 draw in the first half, kicked off with…
Samuel Muchai of Paralympics scoops Sports Personality of the Year The 2018 Soya Awards were held glamorously, in an event that took place at KICC, Nairobi. The event is held annually to reward various sports personalities that flew the Kenyan flag high throughout the previous year. A majority of young…
“PAMZO” Anyakua Kago na Misiko Klabu ya Posta Rangers inayoshiriki ligi Ku nchini imevamia mabingwa wa 2016 Tusker, na kusajili kiungo wa kati Luis Misiko. Misiko ametia sahihi mkataba wa miaka mitatu na klabu hiyo ambayo ilimaliza ya nne, msimu uliopita. Misiko atajumuika na aliyekuwa mchezaji-mwenza kule Tusker, Danson…
Mshambulizi wa timu ya taifa ya Harambee Stars na klabu ya Girona, Michael Olunga ameandikisha historia hii leo baada ya kuwa Mkenya wa kwanza kufunga bao kwenye ligi ya Uhispania Laliga. Aidha, Olunga almaarufu “Engineer ” amekuwa mchezaji wa kwanza wa klabu hiyo ya Girona kufunga mabao matatu kwenye mechi moja. Itakumbukwa…
Miamba wa Laliga Uhispania, Barcelona wamefanikiwa kumpata Philippe Coutinho kutoka Liverpool kwa rekodi ya Euro milioni mia moja sitini (€100M). Barca wamempata nyota huyo baada ya muda mrefu wa kutuma maombi yaliyokataliwa. Kipindi kilichopita cha uhamisho, kilishuhudia uhamisho wa Coutinho ukigonga mwamba dakika za lala salama, baada ya Liverpool…
Mshambulizi wa taifa la Misri na Klabu ya Liverpool , Mohammed Salah ameshinda tuzo la mchezaji bora Afrika, wiki chache baada ya kutwaa tuzo la BBC. Salah ambaye amefunga mabao kumi na saba kwa mechi kumi na tisa za ligi, na matano katika mechi sita za kombe la Klabu Bingwa.…
Mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Asisat Oshoala alishinda taji la tatu kuwa mchezaji bora Afrika kwa kina dada, usiku wa Alhamisi. Oshoala alitwaa tuzo hilo mwaka wa 2014 na 2016, na hapo jana aliwapiku Gabrielle Aboudi Onguene wa Cameroon na Chrestina Kgatlana wa Afrika Kusini, katika hafla…
Wiki jana, jaji wa mahakama kuu ( High Court) Jaji John Mativo alifanya uamuzi si mchache ambapo kampuni ya uwekezaji nchini Sportpesa, ilipoteza kesi ya kupinga ada wanayotozwa na serikali. Sportpesa ilikuwa imelalamikia ada hiyo ya asilimia thelathini na tano (35%) ambayo wanadai ipo juu mno. Kampuni hiyo sasa…

