Campus Radio Kenya
  • Home
  • Shows
    • Shows
    • Broadcasts
    • Schedule
  • Blog
  • Features
    • Service Plus
    • Gallery
  • About
    • Our Mission
  • Contacts

Author page: Yassina Terry

Campus Radio Kenya
  • Home
  • Shows
    • Shows
    • Broadcasts
    • Schedule
  • Blog
  • Features
    • Service Plus
    • Gallery
  • About
    • Our Mission
  • Contacts
January 2, 2018 0Comments 0Likes

MASOUD JUMA AJIUNGA NA CAPE TOWN CITY YA AFRIKA KUSINI

  Mshambulizi wa Kariobangi Sharks na timu ya taifa Harambee Stars, Masoud Juma amejiunga na klabu ya Afrika Kusini Cape Town City. Klabu hiyo ilitangaza usajili huo katika mtandao wao wa Twitter mapema leo. Hata hivyo hela za usajili hazijawekwa wazi.   Juma amekuwa nguzo muhimu kwa kikosi cha Harambee…

Read more
January 2, 2018 0Comments 0Likes
December 28, 2017 0Comments 0Likes

UHAMISHO: VIRGIL VAN DJIK KUJIUNGA NA LIVERPOOL JANUARI MOSI KWA £75M

  Mlinzi wa Southampton Virgil Van Djik atajiunga na Liverpool mwezi Januari tarehe moja kwa rekodi ya paundi milioni sabini na tano (£75M). Nyota huyo wa Uholanzi alifaa kujiunga na The Reds mwezi Julai, ila uhamisho huo ukafeli baada ya kujulikana kuwa Liverpool haikufuata sheria katika kutaka kumsajili. Usajili huo…

Read more
December 28, 2017 0Comments 0Likes
December 27, 2017 0Comments 0Likes

UINGEREZA: HARRY KANE AVUNJA REKODI YA ALAN SHEARER

  Mshambulizi wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Tottenham Harry Kane, amevunja rekodi ya mabao thelathini na sita iliyowekwa na Alan Shearer miaka ishirini na mbili iliyopita. Shearer alifunga mabao hayo akiwa na klabu ya Blackburn Rovers mwaka wa 1995. Kane alifunga mabao matatu siku ya Jumanne…

Read more
December 27, 2017 0Comments 0Likes
December 21, 2017 0Comments 0Likes

SPARTA PRAGUE: KIUNGO MARIDADI, ZAMANI ARSENAL NA DORTMUND ; TOMAS ROSICKY ASTAAFU

  Aliyekuwa kiungo mtengenezaji wa Arsenal na Borussia Dortmund, Tomas Rosicky amestaafu. Gwiji huyo aliyependwa sana kwa mchezo wake wa gusa niguse alitangaza kustaafu hiyo jana, katika maongezi na vyombo vya habari kule Jamhuri ya Czech. Rosicky alisema kuwa ameafikia uamuzi huo kwa kuwa umri wake wa miaka 37 haumruhusu…

Read more
December 21, 2017 0Comments 0Likes
December 18, 2017 0Comments 0Likes

BRAZILI : GWIJI WA SOKA ; RICARDO KAKA ASTAAFU

      Aliyekuwa kiungo mshambulizi wa AC Milan na Real Madrid, Ricardo Izecsano dos Santos Leite almaarufu Kaka, ametundika dalugha. Kaka aliandika ujumbe wa kustaafu kwake kwenye ukurasa wake wa Instagram, mapema leo. Nyota huyo amestaafu akiwa na umri wa miaka thelathini na tano, huku akijivunia rekodi nzuri ya…

Read more
December 18, 2017 0Comments 0Likes
December 17, 2017 0Comments 0Likes

CECAFA 2017: MATASI AISHINDIA HARAMBEE STARS TAJI

    Timu ya taifa Harambee Stars ndio mabingwa wa kombe la CECAFA mwaka huu baada ya kuicharaza na kuilabua Zanzibar, mabao matatu kwa mawili kwenye fainali. Mechi hiyo iliyogaragazwa kule Machakos, ilizua mchecheto na mhemko si haba, hadi dakika ya mwisho.   Kenya ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa…

Read more
December 17, 2017 0Comments 0Likes
December 15, 2017 0Comments 0Likes

CECAFA 2017: KENYA KUCHUANA NA ZANZIBAR KWENYE FAINALI; JUMAPILI

  The Minnows ya Zanzibar imejikatia tikiti ya fainali hii leo, baada ya kuicharaza Uganda Cranes mabao mawili kwa moja. Mechi hiyo iligaragazwa katika uga wa Moi kule Kisumu.   Abdulazziz Makame alikuwa wa kwanza kucheka na wavu kwa upande wa Zanzibar kunako dakika ya ishirini na mbili, kabla ya…

Read more
December 15, 2017 0Comments 0Likes
December 13, 2017 0Comments 0Likes

WAZITO FC YAILAZA RANGERS KUTWAA JAMHURI CUP

    Klabu ya Wazito iliyopandishwa daraja majuzi iliishangaza Rangers  siku ya Jumanne, baada ya kuirindima bao moja kwa nunge. Mechi hiyo ilisakatwa katika uga wa Moi Sports Centre; Kasarani katika sherehe za Jamhuri. Aliyekuwa mshambulizi wa Tusker John Mabia alifunga bao hilo muhimu baada ya kuingizwa kama nguvu mpya.…

Read more
December 13, 2017 0Comments 0Likes
December 12, 2017 5Comments 0Likes

TUSKER FOOTBALL CLUB TRIALS

    Official Tusker FC FROM: TUSKER FOOTBALL CLUB 8th December, 2017 RE: TUSKER FOOTBALL CLUB TRIALS   Tusker FC will be conducting a three day trial exercise aimed at recruiting new players ahead of the team’s 2018 campaign. The player selection and trials will be conducted at the club’s…

Read more
December 12, 2017 5Comments 0Likes
December 11, 2017 0Comments 0Likes

DROO YA KOMBE LA MABINGWA NA LIGI YA EUROPA YAZINDULIWA

  Droo ya Kombe la klabu bingwa iliandaliwa leo alasiri huku kipute babu kubwa kikisubiriwa kati ya Real Madrid ya Uhispania na Paris Saint Germain ya Ufaransa.   Chelsea ya Uingereza inakabiliwa na mtihani mgumu dhidi ya Barcelona ya Uhispania huku Tottenham ikitifua kivumbi dhidi ya Juventus.   Timu ya…

Read more
December 11, 2017 0Comments 0Likes

Posts navigation

< Page 1 Page 2 Page 3 Page 4 Page 5 >
Listen Live!
https://stream.zenolive.com/mayn36v1v8quv.mp3
Search
Podcast of the Week
Podcast of the Week
About This Radio

We are music people. Just like you. This radio is a mirror of our souls. Our mission is to search out and expose great new music to people who otherwise may never encounter it. So please enjoy our vibes, cause our music never ends.

Copyright © 2026 by College Media Group Ltd. All rights reserved.